Showing posts with label Michezo. Show all posts
Showing posts with label Michezo. Show all posts

Saturday, November 29, 2014

Kiungo Mpya wa Yanga ni changa la macho?

Huyu ndie mchezaji mpya wa Yanga, Emerson de Oliveira Neves Roque aliyeletwa na kocha Mbrazili wa Marcio Maximo kufanyiwa majaribio ili azibe pengo la Jaja. Roque, kwa muji wa taarifa za mtandao wa Int.Soccerway.com hajacheza hata mechi moja katika timu yake ambayo imemsajili kama mlinzi lakini huku analetwa kujaribiwa nafasi ya kiungo. 
Timu anayochezea ya Bonsucesso FC inashika nafasi ya 13 na imeshinda michezo mitatu na kupoteza michezo 6 na kutoka suluhu michezo 6.  
 
Kwa hisani ya: Father Kidevu Blog

Thursday, November 27, 2014

MCHEZAJI NGULI WA BRAZIL PELE AMELAZWA HOSPITAL KWENYE CHUMBA CHA WAGONJWA MAHUTUTI (ICU)

Mchezaji wa siku nyingi nchini Brazil na aliyeiwezesha Brazil kunyakua kombe la Dunua mara tatu  amelazwa hospitali ya mjini Sao Paulo kwa maambukizi baada ya kufanyiwa upasuaji kuondoa mawe kwenye figo ya mchezaji huyo.
Pele mwenye miaka 74 alilazwa kwenye hospitali hiyo  jumanne wiki hii baada ya kupata maambukizi kutokana na kufanyiwa upasuaji kuondoa mawe kwenye figo mwezi uliopita.
Madaktari wa hospitali ya Albert Einstein ya mjini Sao Paulo wamesema hali ya mchezaji huyo inaendelea kuimarika lakini habari kutoka kwa shirika la habari la AFP zinasema hali ya mchezaji huyo inaendelea kuwa mbaya amewekwa chini ya uangalizi maalum kwenye chumba cha wagonjwa
You might also like:

Wednesday, September 17, 2014

WACHEZAJI MAN UNITED 'WAKESHA' KUANGALIA LIGI YA MABINGWA

KLABU ya Manchester United haimo kabia katika michuano ya Ulaya msimu huu baada ya kumaliza nafasi ya saba katika Ligi Kuu ya England msimu uliopita.
Pamoja na hayo, wachezaji wake wameendelea kuonyesha mapenzi na michano hiyo baada ya kukubakli kuchelewa kulala, ili waangalie mechi za Ligi ya Mabingwa. Kipa David de Gea na baadhi ya wachezaji wenzake jana walipoteza muda kwa ajili ya mechi za Ulaya.
Kipa huyo wa kimataifa wa Hispania, ameposti picha akiwa na wachezaji wenzake Marcos Rojo, Rafael, Antonio Valencia, Andreas Pereira, Anderson, Angel di Maria, Ander Herrera na Juan Mata wakipata chakula huku wanaangalia mechi za Ligi ya Mabingwa.
Mzuia michomo huyo wa zamani wa Atletico Madrid ameposti picha hiyo kwenye akaunti yake ya Twitter akiambatanisha na ujumbe: "Chakula cha usiku na timu"!.


Watazamaji; David de Gea akiwa na wachezaji wenzake Marcos Rojo, Rafael, Antonio Valencia, Andreas Pereira, Anderson, Angel di Maria, Ander Herrera na Juan Mata wakipata chakula cha usiku huku wakiangalia Ligi ya Mabingwa

Saturday, September 13, 2014

‘SIMBA KWANZA, NDANDA FC BAADAYE’ PRESIDAA WA SIMBA EVANS AVEVA KATISHA SANA MTWARA…

20140912_175610
Wanachama na mashabiki wa Simba Sports Club wakiwa katika picha na Rais wao, Evans Elieza Aveva (aliyevalishwa shada la ua) katika uzinduzi wa tawi la klabu hiyo mkoani Mtwara
Na Shaffih Dauda, Mtwara
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba Sc leo jioni wanacheza mechi ya kirafiki na Ndanda fc katika uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara katika maadhimisho ya Siku ya Ndanda, ‘Ndanda fc Day’. Wakati kikosi cha Simba kikitarajia kutua asubuhi ya leo Uwanja wa Ndege wa Mtwara kutokea Dar es salaam , jana Rais wa klabu hiyo, Evans Elieza Aveva akiongozana na mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Hassan Dalali walitua Mtwara kwa ajili ya maandalizi ambapo kikubwa zaidi alizindua Tawi jipya la Simba mkoani humu.
Simba jana ilikuwa na mechi ya pili ya kimataifa ya kirafiki katika uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam dhidi ya URA ya Uganda na ilifungwa bao 1-0. Wikiendi iliyopita ilishinda mabao 3-0 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya katika mechi ya kwanza ya kimataifa ya kirafiki.
Wakati Ndanda fc imepanda Daraja, mtandao huu ulikuwepo katika mapokezi ya timu hiyo hapa Mtwara ambapo walizindua ‘Slogani’ yao kuwa ‘Ndanda fc kwanza, Simba, Yanga baadaye’, lakini jana mashabiki hao waligeuka na kusema haiwezekani, ‘Simba kwanza, Ndanda fc baadaye’.
Walipobanwa na mwandishi kwanini wamegeuka? walijitetea na kusema mechi ya leo ni ya kirafiki ndio maana wanaishangilia timu yao ya Simba, lakini vijana hao wa Patrick Phiri wakirudi katika mechi ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara watakutana na mambo mapya na hapo ndipo ‘Ndanda fc itakuwa kwanza, Simba baadaye”. Raha sana.
Zaidi walisema wamefurahishwa na ujio wa Rais wao wa kwanza katika Historia ya klabu hiyo, Bwana Aveva, hivyo wamempokea kwa furaha na wanaandika historia ya kuzindua tawi jipya.
Msomaji unaweza kupata picha mwenyewe kuhusu namna mashabiki walivyo inapofika Simba na Yanga.
Hapa chini ni baadhi ya picha katika mapokezi ya Aveva na uzinduzi wa tawi…
20140912_175633Jamaa kavalia jezi yenye jina la Emmanuel Okwi: Mambo yalianza mdogo mdogo baada ya Rais wa Simba, Evans Aveva kuwasili mkoani Mtwara akitokea Dar es salaam
20140912_164747Tawi la Mnyama mkoani Mtwara
20140912_170751Umeona nini kwenye picha hii? kuna jamaa kavalia jezi ya timu pinzania, hakuona shida kuwaona watani. Lakini ni ngumu kufahamu, labda kavaa tu kama vazi. Cheki kofia nayo…..
20140912_165023Wamegeuka?: ‘Simba kwanza, Ndanda fc baadaye’., mashabiki wa Simba wakati wa uzinduzi wa tawi la klabu hiyo Mkoani Mtwara
20140912_165237Rais wa Simba (wa pili kulia) wakati wa kusaini kitabu cha wageni kwenye tawi hilo. Wa kwanza kulia ni mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Mzee Hassan Dalali.
20140912_173502 
Rais wa Simba sc, Evans Aveva (wa kwanza kushoto) na Hassan Dalali (wa kwanza kushoto) wakipata msosi kidogo
Credit.Shaffih Dauda

Saturday, August 2, 2014

EBOLA YATIBUA SOKA AFRIKA


MONROVIA, Liberia
LIBERIA imesimamisha shughuli zote za soka katika juhudi za kudhibiti kuenea kwa virusi va ebola.

Aidha, Shelisheli imeizuia timu ya Sierra Leone kuingia nchini humo kucheza mechi yao ya marudiano ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2015.

Huku kukiwa hakuna uwezekano wa kuiahirisha mechi hiyo kwa tarehe nyingine, Shelisheli imekubali kupoteza mechi hiyo, huku ikiwa nyuma kwa mabao 2-0 katika mechi ya kwanza, hivyo kutupwa nje.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limethibitisha kuwa Sierra Leone imesonga mbele katika Kundi D lenye timu za Ivory Coast, Cameroon na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Chama cha Soka cha Liberia kimesema kuna hatari ya maambukizi kwa sababu soka ni mchezo wa kugusana.

Idadi ya watu waliokufa kutokana na virusi vya ebola katika Afrika Magharibi sasa imefikia 672, kulingana na takwimu mpya za Umoja wa Mataifa (UN).

Shirika kubwa la ndege la ukanda huo, Asky, limefuta safari za ndege kwenda katika miji mikuu ya Liberia na Sierra Leone kwa sababu ya hofu ya ugonjwa huo.

Mjini Monrovia, kampeni ya kuelimisha umma kuhusu ebola imeanzishwa kutokana na kifo cha daktari maarufu wa Liberia, Samuel Brisbane.

Mwanasoka nyota wa zamani, George Weah amejiunga katika kampeni hiyo.

Kama mtu mmoja anaathirika, watu 100 wataathirika, kama watu 100 wanaathirika, watu milioni moja wataathirika, alisema Weah.
Rais wa Chama cha Soka cha Liberia, Mussa Bility alisema shughuli zote za soka zimeahirishwa kwa muda usiojulikana ili kuwalinda wachezaji na mashabiki.

Soka ukiwa ni mchezo wa kugusana watu wanatoka jasho wanagusana, na hiyo inaweza kusababisha kupata ugonjwa huo, alisema Bility.

Bility alisema wameiandikia Fifa kuwaomba kufuta ziara zao mbili nchini humo zilizopangwa kufanyika mwezi huu na mwezi ujao.

Kwa upande wa Shelisheli, juzi timu ya Sierra Leone ilizuiwa kupanda ndege kwenye Uwanja wa Ndege wa Nairobi, Kenya ambayo ingewapeleka huko kwa ajili ya mechi ya marudiano iliyopangwa kufanyika leo.

Uamuzi wa kuizuia timu hiyo kusafiri kwenda huko ulichukuliwa na mamlaka za Uhamiaji za Shelisheli, ambayo ilikuwa na hofu ya kuenea kwa ugonjwa huo.

Rais wa Chama cha Soka cha Shelisheli, Elvis Chetty alisema uamuzi wao ni kupoteza mechi hiyo na ulifikiwa baada ya ushauri wa Wizara ya Afya.

Leo kuna mechi nne za kufuzu kwa fainali za Morocco mwakani ambazo ni kati ya Malawi dhidi ya Benin (0-1), Rwanda itaikaribisha Congo (0-2), Guinea Bissau dhidi ya Botswana (0-2) na Mauritania itakuwa mwenyeji wa Uganda (0-2).

Kesho Msumbiji itakuwa mwenyeji wa Tanzania (2-2) na Kenya itaialika Lesotho (0-1).

Wednesday, June 18, 2014

SOMA: RATIBA YA LIGI KUU ENGLAND MSIMU WA 2014/2015

 Manchester United have a dream start
RATIBA NZIMA YA LIGI KUU ENGLAND 2014/2015.
16 August 2014
Arsenal v Crystal Palace
Burnley v Chelsea
Leicester City v Everton
Liverpool v Southampton
Manchester United v Swansea City
Newcastle United v Manchester City
Queens Park Rangers v Hull City
Stoke City v Aston Villa
West Bromwich Albion v Sunderland
West Ham United v Tottenham Hotspur
23 August 2014
Aston Villa v Newcastle United
Chelsea v Leicester City
Crystal Palace v West Ham United
Everton v Arsenal
Hull City v Stoke City
Manchester City v Liverpool
Southampton v West Bromwich Albion
Sunderland v Manchester United
Swansea City v Burnley
Tottenham Hotspur v Queens Park Rangers
30 August 2014
Aston Villa v Hull City
Burnley v Manchester United
Everton v Chelsea
Leicester City v Arsenal
Manchester City v Stoke City
Newcastle United v Crystal Palace
Queens Park Rangers v Sunderland
Swansea City v West Bromwich Albion
Tottenham Hotspur v Liverpool
West Ham United v Southampton

13 September 2014

Arsenal v Manchester City
Chelsea v Swansea City
Crystal Palace v Burnley
Hull City v West Ham United
Liverpool v Aston Villa
Manchester United v Queens Park Rangers
Southampton v Newcastle United
Stoke City v Leicester City
Sunderland v Tottenham Hotspur
West Bromwich Albion v Everton

20 September 2014

Aston Villa v Arsenal
Burnley v Sunderland
Everton v Crystal Palace
Leicester City v Manchester United
Manchester City v Chelsea
Newcastle United v Hull City
Queens Park Rangers v Stoke City
Swansea City v Southampton
Tottenham Hotspur v West Bromwich Albion
West Ham United v Liverpool

27 September 2014

Arsenal v Tottenham Hotspur
Chelsea v Aston Villa
Crystal Palace v Leicester City
Hull City v Manchester City
Liverpool v Everton
Manchester United v West Ham United
Southampton v Queens Park Rangers
Stoke City v Newcastle United
Sunderland v Swansea City
West Bromwich Albion v Burnley

4 October 2014

Aston Villa v Manchester City
Chelsea v Arsenal
Hull City v Crystal Palace
Leicester City v Burnley
Liverpool v West Bromwich Albion
Manchester United v Everton
Sunderland v Stoke City
Swansea City v Newcastle United
Tottenham Hotspur v Southampton
West Ham United v Queens Park Rangers

18 October 2014

Arsenal v Hull City
Burnley v West Ham United
Crystal Palace v Chelsea
Everton v Aston Villa
Manchester City v Tottenham Hotspur
Newcastle United v Leicester City
Queens Park Rangers v Liverpool
Southampton v Sunderland
Stoke City v Swansea City
West Bromwich Albion v Manchester United

25 October 2014

Burnley v Everton
Liverpool v Hull City
Manchester United v Chelsea
Queens Park Rangers v Aston Villa
Southampton v Stoke City
Sunderland v Arsenal
Swansea City v Leicester City
Tottenham Hotspur v Newcastle United
West Bromwich Albion v Crystal Palace
West Ham United v Manchester City

1 November 2014

Arsenal v Burnley
Aston Villa v Tottenham Hotspur
Chelsea v Queens Park Rangers
Crystal Palace v Sunderland
Everton v Swansea City
Hull City v Southampton
Leicester City v West Bromwich Albion
Manchester City v Manchester United
Newcastle United v Liverpool
Stoke City v West Ham United

8 November 2014

Burnley v Hull City
Liverpool v Chelsea
Manchester United v Crystal Palace
Queens Park Rangers v Manchester City
Southampton v Leicester City
Sunderland v Everton
Swansea City v Arsenal
Tottenham Hotspur v Stoke City
West Bromwich Albion v Newcastle United
West Ham United v Aston Villa

22 November 2014

Arsenal v Manchester United
Aston Villa v Southampton
Chelsea v West Bromwich Albion
Crystal Palace v Liverpool
Everton v West Ham United
Hull City v Tottenham Hotspur
Leicester City v Sunderland
Manchester City v Swansea City
Newcastle United v Queens Park Rangers
Stoke City v Burnley

29 November 2014

Burnley v Aston Villa
Liverpool v Stoke City
Manchester United v Hull City
Queens Park Rangers v Leicester City
Southampton v Manchester City
Sunderland v Chelsea
Swansea City v Crystal Palace
Tottenham Hotspur v Everton
West Bromwich Albion v Arsenal
West Ham United v Newcastle United

2 December 2014

Arsenal v Southampton, 7.45pm
Burnley v Newcastle United, 7.45pm
Crystal Palace v Aston Villa, 8pm
Leicester City v Liverpool, 7.45pm
Manchester United v Stoke City, 7.45pm
Swansea City v Queens Park Rangers, 7.45pm
West Bromwich Albion v West Ham United, 8pm

3 December 2014

Chelsea v Tottenham Hotspur, 7.45pm
Everton v Hull City, 7.45pm
Sunderland v Manchester City, 7.45pm

6 December 2014

Aston Villa v Leicester City
Hull City v West Bromwich Albion
Liverpool v Sunderland
Manchester City v Everton
Newcastle United v Chelsea
Queens Park Rangers v Burnley
Southampton v Manchester United
Stoke City v Arsenal
Tottenham Hotspur v Crystal Palace
West Ham United v Swansea City

13 December 2014

Arsenal v Newcastle United
Burnley v Southampton
Chelsea v Hull City
Crystal Palace v Stoke City
Everton v Queens Park Rangers
Leicester City v Manchester City
Manchester United v Liverpool
Sunderland v West Ham United
Swansea City v Tottenham Hotspur
West Bromwich Albion v Aston Villa

20 December 2014

Aston Villa v Manchester United
Hull City v Swansea City
Liverpool v Arsenal
Manchester City v Crystal Palace
Newcastle United v Sunderland
Queens Park Rangers v West Bromwich Albion
Southampton v Everton
Stoke City v Chelsea
Tottenham Hotspur v Burnley
West Ham United v Leicester City

26 December 2014

Arsenal v Queens Park Rangers
Burnley v Liverpool
Chelsea v West Ham United
Crystal Palace v Southampton
Everton v Stoke City
Leicester City v Tottenham Hotspur
Manchester United v Newcastle United
Sunderland v Hull City
Swansea City v Aston Villa
West Bromwich Albion v Manchester City

28 December 2014

Aston Villa v Sunderland
Hull City v Leicester City
Liverpool v Swansea City
Manchester City v Burnley
Newcastle United v Everton
Queens Park Rangers v Crystal Palace
Southampton v Chelsea
Stoke City v West Bromwich Albion
Tottenham Hotspur v Manchester United
West Ham United v Arsenal

1 January 2015

Aston Villa v Crystal Palace
Hull City v Everton
Liverpool v Leicester City
Manchester City v Sunderland
Newcastle United v Burnley
Queens Park Rangers v Swansea City
Southampton v Arsenal
Stoke City v Manchester United
Tottenham Hotspur v Chelsea
West Ham United v West Bromwich Albion

10 January 2015

Arsenal v Stoke City
Burnley v Queens Park Rangers
Chelsea v Newcastle United
Crystal Palace v Tottenham Hotspur
Everton v Manchester City
Leicester City v Aston Villa
Manchester United v Southampton
Sunderland v Liverpool
Swansea City v West Ham United
West Bromwich Albion v Hull City

17 January 2015

Aston Villa v Liverpool
Burnley v Crystal Palace
Everton v West Bromwich Albion
Leicester City v Stoke City
Manchester City v Arsenal
Newcastle United v Southampton
Queens Park Rangers v Manchester United
Swansea City v Chelsea
Tottenham Hotspur v Sunderland
West Ham United v Hull City

31 January 2015

Arsenal v Aston Villa
Chelsea v Manchester City
Crystal Palace v Everton
Hull City v Newcastle United
Liverpool v West Ham United
Manchester United v Leicester City
Southampton v Swansea City
Stoke City v Queens Park Rangers
Sunderland v Burnley
West Bromwich Albion v Tottenham Hotspur

7 February 2015

Aston Villa v Chelsea
Burnley v West Bromwich Albion
Everton v Liverpool
Leicester City v Crystal Palace
Manchester City v Hull City
Newcastle United v Stoke City
Queens Park Rangers v Southampton
Swansea City v Sunderland
Tottenham Hotspur v Arsenal
West Ham United v Manchester United

10 February 2015

Arsenal v Leicester City, 7.45pm
Crystal Palace v Newcastle United, 8pm
Hull City v Aston Villa, 7.45pm
Liverpool v Tottenham Hotspur, 8pm
Manchester United v Burnley, 7.45pm
Southampton v West Ham United, 7.45pm
West Bromwich Albion v Swansea City, 8pm

11 February 2015

Chelsea v Everton, 7.45pm
Stoke City v Manchester City, 7.45pm
Sunderland v Queens Park Rangers, 7.45pm

21 February 2015

Aston Villa v Stoke City
Chelsea v Burnley
Crystal Palace v Arsenal
Everton v Leicester City
Hull City v Queens Park Rangers
Manchester City v Newcastle United
Southampton v Liverpool
Sunderland v West Bromwich Albion
Swansea City v Manchester United
Tottenham Hotspur v West Ham United

28 February 2015

Arsenal v Everton
Burnley v Swansea City
Leicester City v Chelsea
Liverpool v Manchester City
Manchester United v Sunderland
Newcastle United v Aston Villa
Queens Park Rangers v Tottenham Hotspur
Stoke City v Hull City
West Bromwich Albion v Southampton
West Ham United v Crystal Palace

3 March 2015

Aston Villa v West Bromwich Albion, 7.45pm
Hull City v Sunderland, 7.45pm
Liverpool v Burnley, 8pm
Queens Park Rangers v Arsenal, 7.45pm
Southampton v Crystal Palace, 7.45pm
West Ham United v Chelsea, 7.45pm

4 March 2015

Manchester City v Leicester City, 7.45pm
Newcastle United v Manchester United, 7.45pm
Stoke City v Everton, 7.45pm
Tottenham Hotspur v Swansea City, 7.45pm

14 March 2015

Arsenal v West Ham United
Burnley v Manchester City
Chelsea v Southampton
Crystal Palace v Queens Park Rangers
Everton v Newcastle United
Leicester City v Hull City
Manchester United v Tottenham Hotspur
Sunderland v Aston Villa
Swansea City v Liverpool
West Bromwich Albion v Stoke City

21 March 2015

Aston Villa v Swansea City
Hull City v Chelsea
Liverpool v Manchester United
Manchester City v West Bromwich Albion
Newcastle United v Arsenal
Queens Park Rangers v Everton
Southampton v Burnley
Stoke City v Crystal Palace
Tottenham Hotspur v Leicester City
West Ham United v Sunderland

4 April 2015

Arsenal v Liverpool
Burnley v Tottenham Hotspur
Chelsea v Stoke City
Crystal Palace v Manchester City
Everton v Southampton
Leicester City v West Ham United
Manchester United v Aston Villa
Sunderland v Newcastle United
Swansea City v Hull City
West Bromwich Albion v Queens Park Rangers

11 April 2015

Burnley v Arsenal
Liverpool v Newcastle United
Manchester United v Manchester City
Queens Park Rangers v Chelsea
Southampton v Hull City
Sunderland v Crystal Palace
Swansea City v Everton
Tottenham Hotspur v Aston Villa
West Bromwich Albion v Leicester City
West Ham United v Stoke City

18 April 2015

Arsenal v Sunderland
Aston Villa v Queens Park Rangers
Chelsea v Manchester United
Crystal Palace v West Bromwich Albion
Everton v Burnley
Hull City v Liverpool
Leicester City v Swansea City
Manchester City v West Ham United
Newcastle United v Tottenham Hotspur
Stoke City v Southampton

25 April 2015

Arsenal v Chelsea
Burnley v Leicester City
Crystal Palace v Hull City
Everton v Manchester United
Manchester City v Aston Villa
Newcastle United v Swansea City
Queens Park Rangers v West Ham United
Southampton v Tottenham Hotspur
Stoke City v Sunderland
West Bromwich Albion v Liverpool

2 May 2015

Aston Villa v Everton
Chelsea v Crystal Palace
Hull City v Arsenal
Leicester City v Newcastle United
Liverpool v Queens Park Rangers
Manchester United v West Bromwich Albion
Sunderland v Southampton
Swansea City v Stoke City
Tottenham Hotspur v Manchester City
West Ham United v Burnley

9 May 2015

Arsenal v Swansea City
Aston Villa v West Ham United
Chelsea v Liverpool
Crystal Palace v Manchester United
Everton v Sunderland
Hull City v Burnley
Leicester City v Southampton
Manchester City v Queens Park Rangers
Newcastle United v West Bromwich Albion
Stoke City v Tottenham Hotspur

16 May 2015

Burnley v Stoke City
Liverpool v Crystal Palace
Manchester United v Arsenal
Queens Park Rangers v Newcastle United
Southampton v Aston Villa
Sunderland v Leicester City
Swansea City v Manchester City
Tottenham Hotspur v Hull City
West Bromwich Albion v Chelsea
West Ham United v Everton

24 May 2015

Arsenal v West Bromwich Albion
Aston Villa v Burnley
Chelsea v Sunderland
Crystal Palace v Swansea City
Everton v Tottenham Hotspur
Hull City v Manchester United
Leicester City v Queens Park Rangers
Manchester City v Southampton
Newcastle United v West Ham United
Stoke City v Liverpool

Tuesday, June 3, 2014

AZAMTV WAKABIDHI FEDHA KWA BODI YA LIGI MSIMU WA PILI


 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania Silas Mwakibinga akiwaonesha waandishi wa habari uthibitisho wa malipo ya shilingi milioni 400 ikiwa ni sehemu ya pili ya malipo kwa ajili ya Ligi Kuu.
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Azam Media Rhys Torrington (kulia) akimkabidhi  Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania Silas Mwakibinga nakala ya uthibitisho wa malipo ya fedha kwa ajili ya Ligi Kuu ya Vodacom. 
KAMPUNI ya Azam Media imetangaza kuwa tayari imeshatuma fedha kwa Bodi ya Ligi kwa ajili ya msimu wa ligi wa Vodacom kwa mwaka 2014/ 2015.
Fedha hizo zimetolewa mapema zaidi kwa ajili ya kusaidia maandalizi mapema kwa timu kama ilivyokubaliwa kwenye mkataba wa miaka mitatu ya udhamini wao katika ligi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari jana katika ofisi za Azam zilizopo Tazara, Dar es salaam, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Rhys Torrington, alisema kuwa kampuni hiyo inavutiwa na aina nzuri ya ushirikiano kati yake na bodi ya Ligi.

Alisema kuwa kupitia bodi hiyo Azam imepiga hatua kubwa katika kufanikisha adhma yake ya kuifanya Ligi hiyo ya Vodacom kuwa ya kuvutia zaidi.
“Ligi hii tunataka kuifanya kuwa ni moja kati ya ligi zinazovutia na kuonesha ushindani barani Afrika, ingawaje ninajua kuwa kuna mengi ambayo yanatakiwa kuendelea kufanywa ili kuipa nguvu zaidi ligi hii”alisema Torrington. Alisema kuwa kwa kutambua hilo ndio maana Azam Media imehakikisha kuwa klabu zote zinapata fedha mapema ili kusaidia suala zima la maandalizi.
Akizungumzia mikakati ya baadae ya Azam Media alisema kuwa inatarajia kuanza kuonesha soka la mitaani (street soccer) mbalimbali moja kwa moja (live) itakayokuwa ikiendelea kwenye nchi za Kenya na Uganda.

Alisema kuwa kwa sasa Azam Media imeanza kujikita katika nchi za Kenya, Uganda na Malawi ambapo itakuwa ikiuza ving’amuzi vyake katika nchi hizo. Aliongeza kuwa pia katika kuhakikisha kuwa inatoa mwanya zaidi wa vipindi vizuri na vya kuvutia inaendelea na vipindi vya michezo vya Morning Trumpet, sport@8 pamoja na Kwetu House.

Kwa upande wake Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya ligi, Mr Silas Mwakibinga alisema kuwa kwa hatua hiyo ya Azam ya kuhakikisha upatikanaji wa fedha hizo kwa wakati ni nzuri na itasaidia kuzipatia timu muda mzuri wa kujiandaa. Alisema kuwa bodi yake inavutiwa sio tu na utangazaji wa vipindi unaofanywa na Azam bali pia hata nia yao ya kuendeleza soka la Tanzania.

Azam Media ilisaini mkataba wa miaka mitatu na wenye thamani ya TSHS5,560,800,000 kuonesha mechi za live na za kurekodi mechi za Ligi Kuu na fedha hizo zinalipwa kwa awamu tatu.

Tuesday, May 13, 2014

Kutana na kijana mwenye miaka 18 mcheza kikapu mrefu kuliko mchezaji yoyote wa NBA, kamzidi mpaka Hashim, anavaa viatu size 22

Elhadji Tacko Fall, ni kijana mwenye umri wa miaka 18 anaecheza kikapu katika timu za high school. Tako ni mcheza kikapu mrefu kuliko wote kwenye timu za NBA na bado anaendelea kukuwa, ambapo anasemekana kuongeza urefu wa nchi mpaka mbili.
"Nimeongezeka nchi tatu ndani ya miezi 8 na Dr wangu kaniambia naweza kuongezeka nchi mbili zaidi kwasababu bado nakuwa." amesema Tacko.
Tacko pia ana mguu mkubwa kiasi kwamba anavaa vatu size 22 na mkono wake ni mkubwa wenye urefu usawa wa mguu wa kijana wa kawaida, na akinyoosha tu mkono wake anagusa kikapu bila hata ya kuruka.
cha kufurahisha zaidi kijana huyo mdogo amepasi masomo yake kwa G.P.A 4.o, na anapenda kuwa biochemist, na bado hajaamua ataenda college gani


 
Credit: Djfetty.blogspot.com

Friday, May 9, 2014

DE GEA ATAMBA TUZO ZA WACHEZAJI BORA WA MWAKA MAN UNITED

KIPA David de Gea ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Manchester United kutoka kwa wachezaji wenzake na mashabiki katika sherehe zilizofanyika usiku wa jana.
Kipa huyo wa kimataifa wa Hispania alipokea tuzo hizo mbili, moja ya Sir Matt Busby mchezaji bora wa mwaka, inayopigiwa kura na mashabiki na ya wachezaji, Mchezaji Bora wa Wachezaji wa Mwaka baada ya kufanya kazi nzuri msimu huu.
De Gea alishinda tuzo ya mashabiki baada ya kupata asilimia 54 ya kura, akiwashinda Wayne Rooney na Adnan Januzaj walioshika nafasi ya pili na ya tatu.
Mshindi mkuu: David de Gea (katikati) akipokea tuzo ya Mchezaji Bora wa mwaka ya Sir Matt Busby Player kutoka kwa kocha wa muda, Ryan Giggs (kulia) na Steven Cross kushoto
Check this out: De Gea is presented with the Players' Player of the Year award by Juan Mata (right)
Nyingine hiyo: De Gea akipokea tuzo ya Mchezaji Bora wa Wachezaji kutoka kwa Juan Mata (kulia)
Lady in red: Manchester United goalkeeper David de Gea with pop-star girlfriend Edurne Garcia
Lady in red: Manchester United goalkeeper David de Gea with pop-star girlfriend Edurne Garcia
Mwanamama katika uzi mwekundu: Kipa wa Manchester United, David de Gea akiwa mpenzi wake, Edurne Garcia
Legends: Ryan Giggs (right) is presented with the Lifetime Achievement award by Sir Bobby Charlton
Gwiji: Ryan Giggs (kulia) akikabidhiwa tuzo ya mafanikio ya muda mrefu na gwiji wa klabu Sir Bobby Charlton
Recognition: Wayne Rooney is presented with the Goal of the Season award by Brian McClair
Mkali wa mabao: Wayne Rooney akikabidhiwa tuzo ya Bao bora la msimu na Brian McClair
Super strike: Rooney's strike against West Ham in March was named United's goal of the season
Bao lenyewe: Rooney alifunga bao hilo katika mechi na West Ham mwezi Machi
Up and coming: James Wilson (right) is presented with the Jimmy Murphy Young Player of the Year award
Anayeibukia: James Wilson (kulia) akikabdhiwa na Jimmy Murphy tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa mwaka
Silverware: Saidy Janko is interviewed by Hayley McQueen after winning reserve player of the year
Na huyu pia: Saidy Janko akifanyiwa mahojiano na Hayley McQueen baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa akiba wa mwaka

De Gea alisema: "Nataka kuwashukuru mashabiki. Tangu siku yangu ya kwanza kabisa katika klabu, nilihisi wananipenda na nina furaha kabisa. Kwao, tutajaribu msimu ujao kufanya vizuri tena,"alisema'.

WASHINDI WA TUZO ZA WACHEZAJI BORA WA MANCHESTER UNITED MSIMU WA 2013/2014

Tuzo ya Sir Matt Busby (Mchezaji Bora wa Mwaka) - David de Gea
Mchezaji Bora wa Mwaka- David de Gea
Bao bora la msimu - Wayne Rooney vs West Ham United Machi 22, 2014
Denzil Haroun Reserve Team Player of the Year - Saidy Janko
Tuzo ya Jimmy Murphy Mchezaji Bora wa Akademi wa mwaka - James Wilson
Tuzo ya Mafanikio ya Muda mrefu- Ryan Giggs
   Credit: Bin Zubeiry

Wednesday, May 7, 2014

Mwanamke huyu ndiyo Kocha Mkuu swa Ufaransa

Helena Costa amewahi kuwa kocha wa timu za wanawake nchini Iraq na Qatar
Klabu ya soka ya Ufaransa iliyo katika ligi ya daraja ya pili, Clermont,imemteua mwanamke raia wa Portugal Helena Costa kama kocha wake mkuu.
Uteuzi huu unamfanya mwanamke huyo kuwa wa kwanza kuwahi kushikilia wadhifa wa juu zaidi wa umeneja kama huu katika soka ya wanaume barani Ulaya.
Klabu hiyo kwa jina, Clermont, ilisema kuwa kocha mpya Helena Costa, aliyekuwa kocha wa timu za taifa za wanawake nchini Qatar na Iraq, ataanza kazi msimu ujao.
Costa pia aliwahi kuwa afisa wa klabu ya Celtic nchini Scotland ambaye kazi yake ilikuwa kuwatafuta wachezaji chipukizi wenye kipajii cha juu kuchezea klabu hiyo.
Pia aliwahi kuwa kocha wa timu ya wanawake ya Iran tangu mwaka 2012.
Klabu ya Clermont imesema kuwa ina matumaini makubwa kwamba Helena atasaidia klabu kupiga hatua.
Atachukua nafasi ya Regis Brouard, ambaye mkataba wake unakamilika mwishoni mwa msimu.
Klabu hiyo inashikilia nafasi ya 14 katika ligi ya daraja ya pili.

Friday, May 2, 2014

Aliyemtupia ndizi Dani Alves akamatwa

Polisi nchini Uhispania, wanasema wamemkamata shabiki aliyemtupia mchezaji soka wa Barcelona Dani Alves Ndizi siku ya Jumapili akiwa uwanjani.
Dani ni raia wa Brazil anayesakatia soka yake katika klabu ya Barcelona.
Kitendo hicho cha ubaguzi kilitokea wakati Alves alipokuwa anajiandaa kupiga mpira wa kona uwanjani siku ya Jumapili.
Alves alichukua Ndizi hiyo na kuila, kitendo ambacho kimemletea sifa duniani kote na hata kuanzisha kampeini dhidi ya ubaguzi wa rangi katika mitandao ya kijamii.
Shabiki huyo aliyekamatwa anajulikana kama David Campaya na ana umri wa miaka 26 anayeunga mkono klabu ya Villarreal.
Alves amesema kuwa amekuwa akipinga vitendo vya ubaguzi kwa miaka sita
Klabu hiyo ilisema kwamba mwanamume huyo hataruhusiwa tena kuhudhuria mechi zozote msimu huu na kwamba amepigwa marufuku maisha.
Mchezaji huyo alisema alishangazwa sana na uungwaji mkono aliopata kutoka kote duniani watu wengi wakionekana kwenye mitandao ya kijamii wakila Ndizi kama ishara ya kumuunga mkono Alves.
Barcelona walishinda Villareal mabao 3-2 katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye uwanja wa El Madrigal mjini Castellon pwani ya Hispania.
Alves aliambia BBC kuwa kilichomkumba sio jambo geni, na kwamba amekuwa akipinga vitendo vya ubaguzi wa rangi kwa miaka sita.

Tuesday, April 29, 2014

BREAKING NEWS; KAVUMBANGU ASAINI MIAKA MIWILI AZAM FC

  Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam
NAHODHA wa Burundi, Didier Kavumbangu amesaini Mkataba wa miaka miwili na mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam FC mchana wa leo, BIN ZUBEIRY imeipata hiyo.
Kavumbangu aliyemaliza Mkataba wake wa miaka miwili Yanga SC, ameamua kusaini Azam FC baada ya kuona klabu yake haina mawasiliano naye licha ya kumaliza Mkataba wake.
“Mimi ni mchezaji, kazi yangu ni mpira. Nimemaliza mkataba Yanga, lakini viongozi hawaniambii kitu, nimepata ofa nzuri Azam nikaamua kusaini,” amesema Kavumbangu akizungumza na BIN ZUBEIRY baada ya kusaini Mkataba huo ambao unamfanya alipwe vizuri kuliko alivyokuwa analipwa Jangwani.
Maisha mapya; Kavumbangu akitia dole gomba Mkataba wa Azam leo

Pamoja na hayo, Kavumbangu ameishukuru Yanga SC na mashabiki kwa miaka miwili aliyoichezea timu hiyo na anasema itabakia kwenye kumbukumbu zake kwa ameshinda nayo mataji.
Mshambuliaji huyo mrefu mwenye nguvu amesema sasa akili yake anaipeleka kwa mwajiri wake mpya, Azam FC ambako pia amepania kwenda kushinda mataji na kuiwezesha timu hiyo ya Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa na familia yake kufanya vizuri kwenye michuano ya Afrika.  
“Mimi sasa ni mchezaji wa Azam, nafurahi kujiunga na klabu hii kubwa. Kawaida yangu huwa nashabikia klabu nayochezea, sasa mimi ni mshabiki namba moja wa Azam,”amesema.   
Tukutane Chamazi; Kavumbangu anahamisha virago vyake kutoka Jangwnai hadi Chamazi

Kavumbangu alitua Yanga mwaka 2013 akitokea Atletico ya Burundi na katika mechi misimu miwili ya kuichezea klabu hiyo, amefunga mabao 31 katika mechi 63 za mashindano yote, moja tu la penalti.
Credit: Bin Zubery Blog