
Huyu
ndie mchezaji mpya wa Yanga, Emerson de Oliveira Neves Roque aliyeletwa
na kocha Mbrazili wa Marcio Maximo kufanyiwa majaribio ili azibe pengo
la Jaja. Roque, kwa muji wa taarifa za mtandao wa Int.Soccerway.com
hajacheza hata mechi moja katika timu yake ambayo imemsajili kama mlinzi
lakini huku analetwa kujaribiwa nafasi ya kiungo.
Timu
anayochezea ya Bonsucesso FC inashika nafasi ya 13 na imeshinda michezo
mitatu na kupoteza michezo 6 na kutoka suluhu michezo 6.
Kwa hisani ya: Father Kidevu Blog







0 comments:
Post a Comment