Weekend hii, mtu mzima Sunday Mjeda aka Linex aka Mr VOA (Voice Of
Africa), alifanya yake kwa kumvisha pete mpenzi wake, ambae ni mwenyeji
wa Finland anaeitwa Suvi. Linex aliamua kufanya kimya kimya tena wakiwa
wawili tu, kwasababu hakutaka kujionyesha, na anaamini ile ni kitu very
personal haikuhitaji manjonjo mengi
0 comments:
Post a Comment