Elhadji Tacko Fall, ni kijana mwenye umri wa miaka 18 anaecheza kikapu
katika timu za high school. Tako ni mcheza kikapu mrefu kuliko wote
kwenye timu za NBA na bado anaendelea kukuwa, ambapo anasemekana
kuongeza urefu wa nchi mpaka mbili.
"Nimeongezeka nchi tatu ndani ya miezi 8 na Dr wangu kaniambia naweza
kuongezeka nchi mbili zaidi kwasababu bado nakuwa." amesema Tacko.
Tacko pia ana mguu mkubwa kiasi kwamba anavaa vatu size 22 na mkono wake
ni mkubwa wenye urefu usawa wa mguu wa kijana wa kawaida, na akinyoosha
tu mkono wake anagusa kikapu bila hata ya kuruka.
cha kufurahisha zaidi kijana huyo mdogo amepasi masomo yake kwa G.P.A
4.o, na anapenda kuwa biochemist, na bado hajaamua ataenda college gani
Credit: Djfetty.blogspot.com









0 comments:
Post a Comment