Mama wa MwanaHip Hop aliyewahi kuaminika kuwa bingwa wa mitindo
huru, Albert Mangwea aliyefariki mwezi Mei mwaka huu, Denisia Costantine
Mangwea ameibuka na kumtetea mwanamuziki wa kizazi kipya Hamis
Mwin’juma ambaye anatuhumiwa kuahidi pesa kwa mama huyo na kuingia
mitini.
Sakata hilo ambalo limekuwa likiripotiwa tangu
mwishoni mwa wiki iliyopita, linatokana na kitendo cha mwanamuziki huyo
(MwanaFA) ambaye aliwahi kuahirisha onesho lake, baada ya kifo cha
msanii mwenzake (Albert Mangwea), kutokuweka hadharani....Read More
0 comments:
Post a Comment