Showing posts with label Mwana Fa. Show all posts
Showing posts with label Mwana Fa. Show all posts

Tuesday, December 17, 2013

Nu HIT: Young Dee ft Mwana FA & Ben Pol - Fununu

Saturday, October 12, 2013

Nu Video: Ay & Mwana Fa Ft J Martins - Bila Kukunja Goti


Sunday, September 15, 2013

Mama Ngwair Amtetea Mwana Fa

Mama wa MwanaHip Hop aliyewahi kuaminika kuwa bingwa wa mitindo huru, Albert Mangwea aliyefariki mwezi Mei mwaka huu, Denisia Costantine Mangwea ameibuka na kumtetea mwanamuziki wa kizazi kipya Hamis Mwin’juma ambaye anatuhumiwa kuahidi pesa kwa mama huyo na kuingia mitini.
Sakata hilo ambalo limekuwa likiripotiwa tangu mwishoni mwa wiki iliyopita, linatokana na kitendo cha mwanamuziki huyo (MwanaFA) ambaye aliwahi kuahirisha onesho lake, baada ya kifo cha msanii mwenzake (Albert Mangwea), kutokuweka hadharani....Read More

Wednesday, June 26, 2013

NEW HIT: Mwana Fa & AY Ft J Martins - Bila Kukunja Goto



Monday, January 21, 2013

Ujio mwingine wa MWANA FA "THE FINEST" Coming Soon