Katika hali ya kushangaza msanii maarufu Mpoki ametua Ujerumani na
akashangaza mamia ya Wajerumani kwa kuanza kuongea Kijerumani cha ndani
kabisa chumbani, hali iliyowafanya Wajerumani wa kawaida wamshangae
maana alikuwa anaongea kikwao mpaka haelelweki. Mpoki ambaye atakutana
na WaBongo walioko huko, alionekana akiwa uwanja wa ndege wenye jina
gumu la Kijerumani akiongea Kijerumani na binti mdogo wa Kijerumani.
Mpoki aliweza kujichanganya mjini wala hakutambulika kutokana na kuwa
mweupe kuliko Wajerumani wenyewe habari zaidi baadae
0 comments:
Post a Comment