4:57 AM
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Msumbiji Dk.Alberto Clementino Antonio Vaquina ,makao makuu ya chama
Ofisi Ndogo Lumumba ,Katika ugeni huo Waziri Mkuu wa Msumbiji
aliongozana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Msumbiji
Dr.Eduardo Baciao Koloma,Bslozi wa Jamhuri ya Msumbiji Dr.Vicente
Mebunia Veloso na Mshauri wa Waziri Mkuu katika Masuala ya Kidiplomasia
Mr.Tarcisio Baltazar Buanahagi.
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea zawadi kutoka kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Msumbiji Dk.Alberto Clementino Antonio Vaquina mara baada ya kumaliza mazungumzo katika Ofisi Ndogo za Chama Lumumba.
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Msumbiji Dk.Alberto Clementino Antonio Vaquina mara baada ya kumaliza mazungumzo kwenye ofisi ndogo za CCM Lumumba.
0 comments:
Post a Comment