Hii Ndiyo Pete LInex Aliyomvisha Mchumba Wake

Weekend hii, mtu mzima Sunday Mjeda aka Linex aka Mr VOA (Voice Of Africa), alifanya yake kwa kumvisha pete mpenzi wake, ambae ni mwenyeji wa Finland anaeitwa Suvi. Linex aliamua kufanya kimya kimya tena wakiwa wawili tu, kwasababu hakutaka kujionyesha, na anaamini ile ni kitu very personal haikuhitaji manjonjo mengi

0 comments:

Post a Comment