Friday, December 20, 2013

Selena Gomez ahairisha ziara yake Australia

Msanii Selena Gomez amehairisha ziara yake aliyokuwa afanye nchini Australia kwa sababu zake ambazo hajaziweka wazi.
Kwa mujibu wa mtandao wa Gossip Cop, Selena alitoa maelezo ambapo alisema,"mashabiki wangu ni muhimu sana kwangu, sitaki kuwaangusha. Lakini nahitaji kupata muda wa kupumzika peke yangu kwa ajili kuwa bora zaidi.
Gomez alikuwa amepanga kufanya onyesho hilo ambalo ni sehemu ya tour yake ya "Star Dance" iliyoanza mwezi wa Agosti.

0 comments:

Post a Comment