Friday, December 20, 2013

Cheka kidogo, kwa hisani ya Kitime Blog: SIJUI MIMBA YA NANI

 
MAMA: We una mimba?
BINTI: Ndio mama, ilikuwa tunafanya majaribio kwenye projekti ya bayolojia chuoni
MAMA: Mungu wangu, sasa nani baba wa mtoto?
BINTI: Sijui, ilikuwa Group Project

0 comments:

Post a Comment