Wednesday, November 27, 2013

Waziri Mkuu mhe.Mizengo Pinda amfariji Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula

PG4A6764 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimfariji  Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula  wakati alipokwenda nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam   Novemba 27, 2013kumpa pole kufuatia kifo cha  mwanae, Peter Philip Mangula kilichotokea   Novemba 26, kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili. (Picha  na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment