Kamishna
Jenerali wa Magereza Nchini John Casmir Minja(wa tatu kushoto) akitoa
hotuba fupi ya ufunguzi rasmi wa Kikao Maalum cha kupitia rasimu ya
Maboresho ya Jeshi la Magereza pamoja na Mafunzo ya “Risk Management”
katika Ukumbi wa Hoteli ya Edema, leo Novemba 27, 2013 Mkoani Morogoro.
Mkaguzi
Mkuu wa Ndani wa Jeshi la Magereza, Bw. Venance Nijimbere akiwasilisha
Mada ya “Risk Management” kwa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza
katika Kikao Maalum cha kupitia rasimu ya Maboresho ya Jeshi la Magereza
kinachofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Edema, Mkoani Morogoro.
Baadhi
ya Washiriki mbalimbali wa Kikao Maalum cha kupitia rasimu ya Maboresho
ya Jeshi la Magereza wakimsikiliza Mtoa Mada ya “Risk
Management”(hayupo pichani) wakati akiwasilisha Mada hiyo.
Kamishna
Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja( wa pili kulia) akiteta
jambo na Makamishna wa Jeshi la Magereza baada ya kufungua rasmi Kikao
Maalum cha kupitia rasimu ya Maboresho ya Jeshi la Magereza(wa kwanza
kulia) ni Kamishna wa Huduma za Urekebishaji, Deonice Chamulesile(wa
kwanza kushoto) ni Kamishna wa Fedha na Utawala, Gaston Sanga( wa pili
kushoto) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma
Malewa. Kikao hicho kitafanyika kwa siku tatu mfululizo katika Ukumbi wa
Hoteli ya Edema, Mkoani Morogoro.
Kamishna
Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(wa tatu kulia) akiwa
katika picha ya pamoja na Washiriki wa Kikao Maalum cha kupitia rasimu
ya Maboresho ya Jeshi la Magereza katika Ukumbi wa Hoteli ya Edema,
Mkoani Morogoro mara baada ya ufunguzi rasmi(wa kwanza kulia) ni
Kamishna wa Fedha na Utawala, Gaston Sanga(wa pili kulia) ni Kamishna
Huduma za Urekebishaji, Deonice Chamulesile(katikati) ni Mkurugenzi wa
Sera na Mipango Wizara ya Mambo ya Ndani, Bw. Haji Janabi(wa kwanza
kushoto) ni Mkaguzi wa Ndani wa Jeshi la Magereza, Bw. Venance
Nijimbere(wa pili kushoto) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa
Magereza, Dkt. Juma Malewa( wa tatu kushoto) ni Mtaalam na Mchambuzi wa
maswala ya Utawala toka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma,
Bi. Veira Shoo( Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).

0 comments:
Post a Comment