10:24 PM
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Mkutano wa Kwanza wa Watalaamu wa Bodi
ya Mipangomiji kwenye hotel ya Blue Pearl, Ubungo jijini Dar es
salaam dNovemba 27, 2013. Kulia ni Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo
ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka na Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya
Ilala , Raymond Mushi.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiambatana na Wazri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo
ya Makazi, Profesa Anna TIbaijuka baada ya kuwasili kwenye hoteli ya
Blue Parl , Ubungo jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa Kwanza
wa Watalaamu wa Bodi ya Mipangomiji Novemba 27, 2013. (Picha zote na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment