Showing posts with label Quick Rocka. Show all posts
Showing posts with label Quick Rocka. Show all posts

Saturday, February 9, 2013

Quick Rocka Kuangusha Mzigo Mpya 'My Baby' Ft Ngwair... Kama wewe ni Shabiki wake inakuhusu

 
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Quick Rocka amesema anatarajian kuachia ngoma yake mpya ambayo atakuwa amemshirikisha mwana Chamber Squad ‘Ngwair’.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, hitmaker wa Katika, amewataka fans wa muziki wa kizazi kipya kukaa tayari kwani itakuwa ni bonge ya ngoma inayofanyika katika studio za A.M Records chini ya Producer Manecky, jina la ngoma hiyo ni My Baby.


Wednesday, January 23, 2013