Showing posts with label Kala Jeremiah. Show all posts
Showing posts with label Kala Jeremiah. Show all posts

Monday, November 11, 2013

Kala Jeremiah Ft Nay Lee - Wale Wale... Novemba 20, 2013

Tuesday, October 15, 2013

Kala Awapa Big Up Fans Wake, Alamba Mkataba Mnono wa Pepsi

Balozi mpya wa kinywaji baridi cha Pepsi, Kala Jeremiah amesema juhudi zaidi ndiyo zimeweza kufanikisha mpaka yeye kufikia hatua ya kukubalika na kampuni hiyo na kusaini mkataba mnono wa kuwa balozi wa kinywaji hicho.
Kala alifunguka kinamna kwenye 255 ya XXL ya Cloud Fm jana, ambapo alisema licha ya juhudi zake lakini pia mashabiki wake wamekuwa ni mchango mkubwa katika kufanikisha kupata mkataba huo.
"Unajua hata wao (makampuni) wanapoangalia huwa hawachukui mtu kwa kuangalia kile unachofanya tu, huwa wanaangalia pia jamii inakukubali vipi na wewe mwenyewe unajiheshimu kiaje, so katika hilo nashukuru mafans wangu ambao wamekuwa wakinikubali muda wote" alisema kala.
Aidha Kala amesema pia kwa kiasi kikubwa vyombo vya habari vimekuwa mbele kumpigania  kuhakikisha kuwa anafahamika katika jamii  na kampuni kubwa kama hizo.
Hata hivyo kala alikataa kutaja kiasi cha fedha anacholipwa baada ya kusaini mkataba huo.



Monday, June 24, 2013

Hiki Ndicho Alichokiandika Kala Jeremiah Kuhusu Ommy Dimpoz


Sunday, March 17, 2013

NEW VIDEO: Kala Jeremiah ft. Ben Pol - Karibu Dar

                          

Wednesday, December 12, 2012

Hii Ndiyo Cover ya Albam Mpya ya Kala Jeremiah Inayotarajia Kutoka Hivi Karibun



Kala Jeremiah baada ya kufanya vizuri katika ngoma yake inayokwenda kwa jina la Dear God,sasa leo ameweka wazi kwamba siku ya tarehe 20 mwezi huu anatarajia kutoka na album yake mpya inayokwenda kwa jina la Pasaka.Na hapo anaonyesha cover yake mpya ya hiyo album


Monday, October 22, 2012

NEW TRACK: Kala Jeremiah - Dear God