Kala
Jeremiah baada ya kufanya vizuri katika ngoma yake inayokwenda kwa jina la Dear
God,sasa leo ameweka wazi kwamba siku ya tarehe 20 mwezi huu anatarajia kutoka
na album yake mpya inayokwenda kwa jina la Pasaka.Na hapo anaonyesha
cover yake mpya ya hiyo album
0 comments:
Post a Comment