Showing posts with label Justin Beiber. Show all posts
Showing posts with label Justin Beiber. Show all posts

Wednesday, December 25, 2013

Soma Hapa: alichokiandika Justin Beiber kuhusina na yeye kuacha muziki

(Getty Images)
Msanii Justin Bieber alitweet jambo lililowashangaza mashabiki wake katika sikukuu ya Christmas.





 “My beloved beliebers I’m officially retiring,” tweeted the superstar.
Lakini kiukweli, alikuwa akitania kwani baada ya kutweet, alirudi baada ya saa moja na kuwataka mashabiki wake wawe watulivu kwani si kweli.
“The media talks a lot about me. They make a up a lot of lies and want me to fail but I’m never leaving you,” wrote Bieber, adding, “Being a belieber is a lifestyle.”
The singer went on, “Be kind loving to each other, forgive each other as god forgave us through Christ.”
“Merry Christmas  IM HERE FOREVER,” added Bieber.
A source further tells Gossip Cop that the performer “isn’t going anywhere.”
The singer pulled a similar stunt last week, joking in a radio interview that he would call it quits after the release of his Complete My Journals album on Monday.
Bieber’s new documentary movie, Believe, is set to open on Christmas Day.

Monday, December 23, 2013

Justin Beibe ft Lil Wayne - Backpack

Friday, December 20, 2013

NU VIDEO: Tyga ft Justin Beiber - Wait For A Minute (Explicit)

Wednesday, December 18, 2013

Watch: Justin Bieber Believe Premiere Red Carpet

WATCH LIVE STREAM VIDEO!

 (Open Road)

Sunday, December 8, 2013

Nu HIT: Justin Bieber Ft. Chance The Rapper - Confident

bieber's private concert

Saturday, December 7, 2013

VIDEO: Justin Beiber akifanya mazoezi kwa ajili ya nyimbo yake ya 'Confident'

Justin Bieber ameachia kipande kidogo cha video kikimuonyesha akifanya mazoezi ya ku-dance kwa ajili ya nyimbo yake atakayoachia hivi karibuni inayoitwa "Confident". Itazama hapa chini

Wednesday, December 4, 2013

Meya wa Australia amchimba mkwara Justin Beiber, amtaka afute Graffiti zake

Meya wa Australia Tom Tate amemtaka msanii Justin Beiber kurudi katika jiji hilo na kufuta graffiti alizochora katika moja ya ukuta ndani ya jiji hilo.
Beiber alichora graffiti hizo wakati wa ziara yake. Meya huyo ambaye amemuita Beiber "pop princess" Bieber alisema , "Sisi tunapenda muziki wako lakini tunachukia sana hizi graffiti zako, ulotufanyia uharibifu katika mji wetu,".
Aidha amemtaka Beiber kuchagua moja kati ya mawili, ikiwa ni kurudi na kufuta graffiti hizo or perform at the mayor’s Christmas carols event on Saturday.
Tazama video hapo chini.

Monday, December 2, 2013

Nu HIT: Justin Bieber - Change Me

Monday, September 16, 2013

Mdhalilishaji aliyejidai kuwa Justin Bieber Ahukumiwa Kifungo cha Miaka 14 Jela

Mwanamume mmoja katika kitongoji cha Middlesbrough, Uingereza aliyejidai kuwa ni mwanamuziki maarufu duniani , Justin Bieber, ili kuwahadaa watoto kuweza kumtumia kanda za video wakiwa wanafanya vitendo vya ngono, amehukumiwa kifungo cha miaka 14 jela.
Robert Hunter, mwenye umri wa miaka 35, na ambaye alijidai kuwa 'Justin Bieber Hunter 'alikamatwa baada ya msichana mmoja kutoka Tasmania kufahamisha polisi kumhusu.
Polisi walimkamata nyumbani kwake akiwa na kanda 800 za video kutoka kote duniani , baadhi kutoka kwa wasichana na nyengine kutoka kwa wavulana
Hunter alikubali mashtaka yote 15 yakiwemo kuwachochea watoto kujihusisha na vitendo vya ngono na kutengeza kanda za video zenye picha chafu.
Mahakama ilifahamishwa kuwa kwa miaka mingi Hunter aliwalenga mamia ya wasichana kutoka Uingereza, Ufaransa , Spain, Italy, Serbia, Bara Asia na Canada.
Wasichana walioamini kuwa mwanamume huyo alikuwa kweli Justin Bieber, walijipiga picha wakiwa uchi baada ya Hunter kuwaahidi kuwa angekuwa na uhusiano wa kimapenzi nao.
Hunter alijidai kuwa Justin Bieber ili watoto wamtumie kanda za video za ngono
Kwa mujibu wa kiongozi wa mashtaka Richard Bennet, vijana wa shule pia walinaswa katika mtego wa Hunter aliyejidai kuwa msichana na kuwataka wafanye vivyo hivyo ambapo alitumia kanda zao kuwatega wasichana wengine.
Lakini walipojaribu kujiondoa kwa mtego wake aliwatumia vitisho.
Msichana mmoja mwenye umri wa miaka 12, alijikata mikono yake baada ya Hunter kuchapisha picha zake kwenye mtandao akiwa uchi pamoja na anwani yake na nambari zake za simu.
Jaji alisema hii ni kesi mbaya kuwahi kuisikia kuhusu udhalilishaji wa watoto kwenye Internet.