Saturday, December 7, 2013

VIDEO: Justin Beiber akifanya mazoezi kwa ajili ya nyimbo yake ya 'Confident'

Justin Bieber ameachia kipande kidogo cha video kikimuonyesha akifanya mazoezi ya ku-dance kwa ajili ya nyimbo yake atakayoachia hivi karibuni inayoitwa "Confident". Itazama hapa chini

0 comments:

Post a Comment