Baada ya kutoa diss kwa kampuni ya NIKE na designers wengine wiki chache zilizopita, Rapa kanye West ameomba radhi kwa kitendo hicho alichokifanya.
"Ninajisikia fahari sana kwa kipindi chote nilichokuwa na kampuni ya NIKE na ninaheshimu mambo yote waliyonifanyia. naomba radhi kwa maneno niliyoyatoa hapo mwanzoni," alisema Kanye West.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI







0 comments:
Post a Comment