Meya
wa Australia Tom Tate amemtaka
msanii Justin Beiber kurudi katika jiji hilo na kufuta graffiti alizochora
katika moja ya ukuta ndani ya jiji hilo.
Beiber
alichora graffiti hizo wakati wa ziara yake. Meya huyo ambaye amemuita Beiber "pop princess" Bieber alisema , "Sisi tunapenda muziki
wako lakini tunachukia sana hizi graffiti zako, ulotufanyia uharibifu katika
mji wetu,".
Aidha
amemtaka Beiber kuchagua moja kati ya mawili, ikiwa ni kurudi na kufuta
graffiti hizo or
perform at the mayor’s Christmas carols event on Saturday.
Tazama video hapo
chini.







0 comments:
Post a Comment