Unaambiwa
kati ya mwaka 2008 mpaka 2013 kuna jumla ya magari madogo laki mbili na
elfu ishirini na sita (226,806) yaliingizwa nchini Tanzania ambapo
asilimi 70 yanatumika Dar es salaam.
Kingine
cha kufahamu ni kwamba kwa mwezi, Watanzania hununua magari madogo
yanayokadiriwa kuwa zaidi ya 4500 ambapo mengi kati ya hayo hutumika
ndani ya jiji la Dar es salaam kwa mujibu wa @BBC_Habanahaba
Magari mengi yanayotumiwa ni kutoka kampuni ya Toyota Japan kama vile
Mark X na aina nyingine mbalimbali huku Japan ikiwa ni nchi ambayo
magari inayotengeneza yamekua yakipata soko kubwa sana kwenye nchi
mbalimbali za Afrika kutokana na kuweza kuhimili mazingira magumu ya
nchi zenyewe.
Sorce: Millard Ayo







0 comments:
Post a Comment