Monday, April 14, 2014

Kata kiu yako ya burudani na MAFUVU ENTERTAINMENT (@DJADMAFUVU)

IMG-20140413-WA0031
NI KATIKA HARAKATI ZINGINE TENA ZA KUWA KARIBU NA FANS WAKE, KUJIONGEZEA KIPATO NA KUWAPA VIJANA WENZAKE AJIRA BAADA YA KUFUNGUA BARBER SHOP NDANI YA MTONI AZIZ ALLY, INAYOFAHAMIKA KAMA MAFUVU BARBER SHOP.
IMG-20140413-WA0035
MOJA KATI YA DJ WAKALI AFRICA MASHARIKI, DJ MAFUVU BAIBEEEY AMESEMA SAFARI HII ANAJISOGEZA KARIBU ZAIDI KWA MASHABIKI WAKE KWA KUSHUSHA VYOMBO VYA MUZIKI VIKUBWA AMBAVYO KWASASA VIKO TAYARI KWA KUINGIA MZIGONI.
IMG-20140413-WA0036
VYOMBO HIVI VYA MUZIKI VITAKUWA VIKIPIGA KWENYE SHEREHE NDOGO KAMA VIPAIMARA, SEND-OFF, HARUSI NA HATIMAYE KWENYE MATUKIO MAKUBWA KAMA COLLAGE BASHES, SCHOOL BASHES NA CONCERTS KUBWA ZA NDANI YA KUMBI NA NJE. SHUGHULI HIZI ZITAAMBATANA NA HUDUMA ZA U’MC KULINGANA NA HITAJI LA MTEJA NA PIA SIKU CHACHE ZA USONI ZITAKUWA CHINI YA KUMPUNI ANAYOIMILIKI MWENYEWE INAYOFAHAMIKA KAMA MAFUVU ENTERTAINMENT.
IMG-20140413-WA0038
KWA MAWASILIANO ZAIDI SIMU +255 717 674 566 AU djadxxl85@gmail.com.

0 comments:

Post a Comment