Rick Ross tunamfahamu kwasababu local radio stations and TVs wanacheza kazi zake:
Sasa mi nitafahamika vipi nchi za watu ikiwa hata media za nyumbani hazinipromote?
Waache wawe mabilionea na sisi tubaki mashabiki wao.
Kwenye show ya Mil.150 ya P Square, msanii wa Bongo akiitwa anapewa Mil.1.5
#JE,MAREKANI, ULAYA na nchi nyingine wanapiga kazi zetu kama ilivyo Tz?
Eti tufanye videos kali na ngoma zenye productions zenye high quality....hahaha.

0 comments:
Post a Comment