Ni moja kati ya wasanii wabongo aliyekuwa akifanya poa sana, nyota ilionekana tangu miaka ya 2000 alipoatoa nyimbo yake ya Ghetto langu ambayo iliwabamba fans wa muziki wa kizazi kipya.
Jamaa ambaye alikuwa amejibatiza a.k.a kibao.........a.k.a Cowboy, Cowweezy, Mtoto wa Jakaya, King wa freestyle, Jembe, NGE, A.K.A mimi na nyingine kibao. Pengo lake halitazibika alikuwa na kipaji cha aina yake...Rest in Peace Albert Mangwea
0 comments:
Post a Comment