Baada
ya kuachia ngoma zenye mchanganyiko wa mchiriku na crunk ambazo ni Tunapeta,
Dada Anaolewa, pamoja na Boma La Utete, Young Dee anakuja tena na style tofauti
kidogo ambayo natumai utaipenda.
NGOMA INAITWA : Hujali
ARTIST: Young Dee ft.
Blue & Tana
STUDIO: Dhahabu Records
LABEL: Authentic Studios
0 comments:
Post a Comment