Tuesday, October 23, 2012

PICHA NYINGINE ZA 'RAYUU' ZASAMBAA MTANDAONI

 
 ZIKIWA ni wiki kadhaa zimepita baada ya picha za msanii Rayuu zilizokuwa zinaonesha tattoo kuvuja mitandaoni, safari hi hali imekuwa mbaya zaidi kwani picha nyingine zinazoonesha matiti yake zimenaswa na mtandao wa DarTalk na mwenyewe alipotafutwa kuelezea alibaki mdomo wazi na hajui ni mtu gani anayezisamabaza.
Rayuu amedai kuwa hajui lolote kwani picha hizo zipo kwenye simu yake iliyopotea na hajua ni nani anayezisambaza ingawa aanaamini kuwa anayefanya hivyo ana nia mbaya ya kumchafua. Msanii huyo anafanya vizuri kwenye tasnia ya filamu ni msanii ambaye hajawahi kukumbwa na matukio kama haya awali.

“Jamani mimi sieliwi hizo picha zinatoka kwa nani, najua ndiyo kwenye simu yangu nilikuwa na picha hizo na baada ya kupotea sijui nani anayefanya upuuzi huo, nilipiga hizo picha kwa upendo wangu lakini sikuwa na maana zitoke na kusambaa mitandaoni,” alisema kwa hasira
 
 

0 comments:

Post a Comment