TANZANIA FILM INDUSTRY LEADING LADIES AND
HIGHEST PAID ACTRESSES.
Industry ya entertainment
Tanzania is still a boy’s town ambapo wanaume bado wanapata mapato makubwa
kuliko wanawake especially katika filamu. Lakini usijari, still bado mademu
wana uwakilishi mzuri kwa upande wa top female stars.
Katika kiwanda ambacho kwa sasa
kinaongoza kimapato katika upande wa burudani – men are still leading for
earning more money lakini girls are not too far behind.
Your leading entertainment
magazine has done its research kwa kuongea na na producers mbalimbali wa movies
na waigizaji wenyewe kuhusu malipo wanayo-demand na kulipwa per movie.
Here are the 5 girls who run
the film industry kwa sasa kwa kufanya vizuri kwenye movie industry kwa
kuongoza kwa mauzo ya filamu na kulipwa mkwanja mrefu zaidi – talking about
their earnings na mambo yote yanayoizunguka tasnia ya filamu Tanzania.
0 comments:
Post a Comment