KUTOKA ndani ya Bongo Movie Industry, mwanadada Rayuu, amesema kuwa yupo kwenye mchakato wa kutoa filamu zake mbili mpya ambazo zitaigia sokoni hivi karibuni mara baada ya kukamilika.
Rayuu alisema kuwa majina ya filamu hizo yanafanyiwa kazi kwani waliyatoa lakini baada ya wadau kukaa na kuyafanyia tathmini yalionekana hayaendani na story za filamu hizo.
Baada ya kazi hizo mbili kwenda sokoni Rayuu atakuwa katika mchakato wa mwingine ambao utaendeshwa na kampuni ya filamu nchini katika kutafuta vipaji vya wasanii chipukizi
0 comments:
Post a Comment