![]() |
Sintah |
Mwanada shosti Christine John ‘Sintah’,
amesema kuwa kwa sasa atakuwa akisikika kupitia kwenye redio Times
FM, hivyo mashabiki wake wataweza kumsikiliza katika redio
hiyo.
Alisema kuwa hata hivyo anaamini ataendelea na kipaji chake
hicho kwani ni kazi ambayo anaiweza kuliko nyingine zote ambazo amekuwa
akifanya.
Hata hivyo alisema kuwa amejipanga vilivyo kuhakikisha kuwa
anaweza kuwa na muda wa kufanya mazoezi pia.
”Muda upo kwa sababu kipindi changu kipo kuanzia saa tatu asubuhi mpaka
saa sita mchana, hivyo nina muda wa kutosha wa kufanya mambo mengine,”.
Sintah aliongeza kuwa mbali na yenye kutumia kipaji chake pia amewashauri wasanii wengine wenye vipaji wavitumie kuliko kutengemea filamu pekee kwani hata wasanii wa nje wengi wanafanya filamu pia wanajikita kwenye mambo mengine.

0 comments:
Post a Comment