Monday, April 28, 2014

Mchumba wa Leonardo DiCaprio apost picha aliyozungukwa na wanaume sita walio uchi

Mchumba wa mwigizaji  Leonardo DiCaprio,Toni Garrn
amepost picha katika mtandao wa Instagram, inayomuonyesha akiwa amezungukwa na wanaume sita ambao wako uchi.

Picha hiyo ambayo imepigwa na Ben Watts, ilichukuliwa katika eneo la Sarasota, Florida on Saturday. Garrn ambaye ni model aliweka picha hiyo ikiwa na maneno, “Mr @wattsupphoto has a strict #dresscode for his team.”

0 comments:

Post a Comment