
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Azam Media,Yussuf Bahresa akikata utepe
kuashiria uzinduzi rasmi wa Televisheni yao ya Azam kwenye makao makuu
yao yaliopo Pugu Road,jijini Dar es Salaam leo.

Mkurugenzi
mtendaji wa Azamtv, bwana Yusuf Bakhresa akizungumza na waandishi wa habari leo.

Mkurugenzi
mtendaji wa Azamtv, bwana Yusuf Bakhresa akisalimiana na wasanii mbalimbali waliohudhuria katika ufunguzi wa ofisi ya AZAMTV siku ya jumatatu tarehe 16 Desemba 2013








0 comments:
Post a Comment