7. Christ
the Redeemer (Cristo Redentor)
Ni sanamu ya Yesu Kristo ambayo ipo katika Mji wa Rio
de Janeiro, Brazil;
ilijengwa kwa miaka mitano (5) kuanzia mwaka 1926 mpaka 1931. Ina urefu wa Futi
98 kwenda juu na uzito wa tani 635.
6.Taj Mahal
Taj Mahal ambayo iko Agra, nchini India ujenzi wake ulikamilika mwaka
1652 baada ya miaka 22 ya ujenzi wake. Jengo hili lilijengwa na mtu aliyeitwa Shahab-ud-din
Muhammad Shah Jahan, au Shah Jehan,
Shahjehan
5. Machu Picchu
Machu Picchu, inapatikana Cusco Region, Urubamba Province, Machupicchu District nchini Peru, pia iko juu ya milima. Ni wastani wa futi 7,970 kutoka usawa wa bahari na imepambwa na majengo zaidi ya 150 iki ni pamoja na mahekalu.
4. Chichen Itza
Maajabu haya yanapatikana katika manispaa ya Tinum,nchini Mexico
3. Colosseum

P
Hili linapatika Rome, Italy
2. Petra
Petra ni mji wa kihistoria, ambao ni maarufu zaidi duniani kutokana na usanifu wake uliotokana na kuchngwa kwa miamba, mji huu wa kihistoria unapatikana takriban kilomita 262 kutoka south of Amman na kilomita 133 kutoka north of Aqaba.
1. Great Wall of China
0 comments:
Post a Comment