Friday, October 18, 2013

OPARESHENI TOKOMEZA MAJANGILI KUANZA

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamisi Kagasheki (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari,  Dar es Salaam leo, kuhusu oparesheni kubwa  ya kutokomeza ujangili dhidi ya wanyama iitwayo 'Oparesheni Tokomeza'. Kushoto ni Msemaji wa Wizara hiyo, Chikambi Rumisha. (PICHA NA NYENDO MOHAMED)
Balozi Kagasheki akisisitiza jambo

0 comments:

Post a Comment