 |
| Katibu wa Itikadi
na Uenezi wa CCM, Nape Nnaue akiweka shada la maua wwakati msafara wa
KatibuMkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ulipofika nyumbani kwa Baba wa
Taifa, Hayati Julius Nyerere, Mwitongo, wilayani Butiama, Mkoa wa Mara
.Kinana na Nape yupo ziarani katika mikoa ya Shnyanga,Simiyu na Mara,
kuimarisha uhai wa chamana kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya
CCM. PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG |
 |
| Katibu Mkuu wa
CCM, Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua katika kaburi la Baba wa
Taifa, Hayati Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo, Butiama. |
 |
| Kinana akiwa na
mtoto wa kwanza wa Bab wa Taifa Hayati Julius Nyerere, Andrew Nyrere
(kulia), baada ya kuzuru kaburi la mwasisi wa taifa la Tanzania.Kushoto
ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye. |
 |
| Kinana akiagana na Andrew |
 |
| Banda ambamo umelazwa mwili wa Baba wa Taifa Hayati Nyerere katika Kijiji cha Mwitongo |
Balozi wa Shina namba namba 14, katika Kijiji cha Mwitongo,
Butiama,Safari Zuga akifungua kikao cha mkutano wa wananchama wa shina
hilo ambao Katibu Mkuu wa CCM, Kinana alihudhuria. Balozi huyo alimsifu
Kinana kwa uadilifui wake wa kuamua kuwatembelea mabalozi wa mashina na
kutaka vingozi wengine waige mfano huo.
Balozi mwingene wa shina la CCM, Joseph Mahinya akiuliza swali kwa Kinana katika mkutano huo.
 |
| Nape akisalimiana
na mama mzazi wa mwandishi wa habarfi mwandamizi, Jackton Manyerere
katika Kijiji cha Mwitongo ,Butiama. Jackton ni Naibu Mhariri Mtendaji
wa gazeti la Jamhuri. |
Nape akijadiliana jambo na Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Nimrod
Mkono katika mkutano wa wanachama wa shina namba 14 la Safari katika
Kijiji cha Mwitongo, Butiama.
 |
| Kinana
akisaidiana na fundi Mgendi Sikila kupiga plasta katika jengo la
Zahanati ya Misegwe ambao Mbunge Mkono amechangia mabati milango na
malumalu. |
Katibu Mkuu wa UIWT, Amina Makilagi akisaidia ujenzi wa zahanati hiyo
 |
| Nape akihutubia baada ya kukagua ujenzi wa zahanati hiyo. |
Mkono akikabidhi malumalu kwa Kinana tayari kutumika katika ujenzi huo
 |
| Kinana akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi walihudhuria wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa zahanati hiyo |
Wasanii wa ngoma ya jadi wakitumbiza wakati msafara wa Kinana ukiwasili
katika Kijiji cha Mazami kuweka jiwe la Msingi ofisi ya Kata ya CCM ya
Mazami.
 |
| Kinana akisalimiana na mmoja wa wasanii wa kikundi cha ngoma. |
Kinana akilakiwa kwa shangwe katika Kiji cha Bwai ambapo alikagua ujenzi na ukarabati wa Shule ya Bwai
 |
| Mkuu wa Wilaya ya Butiama, Mabula akisalimia wananchi wa Bwai 'Paris'wakati wa mkutano. |
Kinana na Mkono wakikagua shule hiyo ambao ujenzi na ukarabati wake kwa
kiasi kikubwa umegharamiwa na Mkono ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Musoma
Vijijini.
Wananchi wakishangilia kumlaki Kinana alipowasili kwenye mkutano wa
hadhara katika Kijiji cha Madaraka, Kyabakari wilayani Butiama.
 |
| Nape Nnauye
akihutubia katika mkutano huo wa hadhara.ambapo aliwaponda wapinzani kwa
kitendo cvhao cha kutaka kuharibu mchakato wa Katiba mpya. |
Kinana akipewa fimbo na kuvalishwa mgolole baada ya kusimikwa kuwa mmoja wa viongozi wa kimila wa kabila la wazanaki.
Kinana akimkabidhi katibu wa CCM wa Kata ya Butiama kwa ajili ya
kusaidia kurahisisha utendaji kazi za chama/Pia baiskeli zilikabidhiwa
kwa makatibu kata wilayani huo. (Picha Zote na Kamanda wa Matukio Blog).
0 comments:
Post a Comment