Saturday, September 28, 2013

Hii ni kwa wanafunzi wa elimu ya juu, bodi ya mikopo imeshatoa mikopo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

heslb1
Higher Education Students’ Loan Board “HESLB”, tayari wameshatoa matokeo ya wanafunzi waliopata mikopo kwa ajili ya mwaka wa masomo 2013/2014. Wale wanafunzi mlioomba mikopo,kujua matokeo yako click HAPA

0 comments:

Post a Comment