
HII
NI TIME YA NGUMU NYEUSI…..SABABU NI SIKU AMBAYO BAADA YA SKENDO MTU MZIMA LORD
EYEZ ATAACHIA NGOMA MPYA, PIA KUTAKUWA NI UZINDUZI WA BUM KUBAM DVD AMBAYO
ITAKUWA KATIKA USAMBAZAJI MPYA WA KAZI ZA WASANII NA KIKUBWA NI SHOW YA MILELE
KUTOKA KWA JOH MAKINI, BONTA, LORD EYEZ, G NAKO NA NIKKI WA PILI……………….USIKOSEEEE…..PALE
NEW MAISHA CLUB……DESEMBA 23.
0 comments:
Post a Comment