Monday, December 17, 2012

"Baada ya Nichumu, Sasa Nakuja na Kichuna" - Bob Junior

Rais wa masharobaro maarufu kama Bob junior baada ya kutoka na Nichumu sasa leo amefunguka na kusema kwamba anatarajia kuachia ngoma yake mpya nyingine inayokwenda kwa jina la Kichuna na hii ndiyo cover yake mpya.Kwa hiyo kama wewe ni shabiki wa Bob junior kaa tayari kwa ujio huu mpya.
Credit: Djfetty

0 comments:

Post a Comment