
Baada ya ku post katika
ukurasa wake wa facebook na kulalamika kwamba huu ni mwaka wake wa tano
hajapewa hata nafasi ya kupiga show za fiesta. Habari nzuri ni kwamba
msanii huyu anayefahamika kwa jina la Mnyama au TID atakuwa ni moja
kati ya wasanii ambao wataonyesha muonekano mpya na zile burudani kali
katika stage ya Serengeti Fiesta.
0 comments:
Post a Comment