![]() |
I’m not a star, somebody lied I got a chopper in the car I got a chopper in the car I got a chopper in the car |
![]() |
Mama yanguuu!!! kweli wabongo noma kwa ku-party |

![]() |
Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti SBL Bw Ephraim Mafuru akitangaza mshindi wa bahati nasibu ya magari mawili kwa mkoa wa Dar es salaam iliyoendeshwa katika matamasha yote ya Serengeti Fiesta mwaka huu kutoka kulia ni Bw. Mrisho kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha , Rugambo Rodney Meneja masoko wa Push Mobile na kushoto ni Mkurugenzi wa Clouds Entarteinment Bw Joseph Kusaga wakishuhudia tukio hilo |
![]() |
Recho akitoa burudani kwa mashabiki |
Diamond Platnumz akifanya makamuzi |
Mavoko akiwa na Dancers wake |
![]() |
Shetta akipiga Kiduku Swagga |
![]() |
At kwa stage |
![]() | ||
Kingzilla |
![]() |
Pah One wakifanya yao |
![]() |
Linah |
![]() |
Aika Marealle wa kundi la Pah One akifanya yake kwa stage
![]() Mdau Edward akiwa na Mdau Regina Kumba |
0 comments:
Post a Comment