
Asema kuwa watu wengi wanaamini kufanya comedy ni kazi rahisi ya kukaa mbele ya kamera lakini kumbe ni kazi ambayo inahitaji kipaji cha hali ya juu sana. Alisema kuwa kumfanya mtu hadi akahisi kuwa na hisia ya kitu fulani au kucheka si kazi ndogo na ndiyo maana wasanii wengi wa comedy ni wenye vipaji na comedy films zinakubalika sana sokoni.
Source
0 comments:
Post a Comment