Mjumbe wa Kampuni ya Image Profession Abdallah Chapa akionyesha mmoja kati ya michoro, kushoto ni Msemaji wa Kamuni hiyo Erick Chrispin |
Image
Profession ikishirikiana na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa mara nyingine
inatangaza kuanza kwa muhula mpya wa pili wa Shindano la Uchoraji, maalumu kwa
Taasisi za Elimu nchini.
Shindano
hili ambalo litajulikana kama: Educational Drawing Competition au Image Profession
Educational Drawing Competition, lina malengo ya kuibua vipaji katika fani ya
uchoraji kwa kuzingatia uwekezaji kwa watoto na vijana.
Theme/
Wazo kuu la mwaka huu: ART IMITATES LIFE au SANAA HUFUATISHA MAISHA.
Makundi
ya ushiriki
‘Elimu
ya Chekechea
‘Elimu
ya Msingi
‘Elimu
ya Sekondari na
‘Elimu
ya Juu
Kwa
maelezo na taratibu za Shindano tembelea Facebook Page/ Group “Drawing Competition” au wasiliana na BASATA au
DRAWING COMPETITION – IMAGE PROFESSION,
P O BOX 92 DAR ES SALAAM.
SIMU: +255 222 664 740 / +255
713 484 040 / +255 714 676 217 / +255 716 430 084
E-MAIL:info@imageprofession.com
0 comments:
Post a Comment