Saturday, September 8, 2012

SERENGETI FIESTA 2012 TABORA, BHAAASSSS

Dj Zero akisababisha mpango mzima wa burudani kwa wana Tabora  

Kilinuka ile mbaya
Every body say King Zilla ni balaa, Godzilla on the stage

Rage nae alikuwepo kutaja namba  ya aliyebahatika kuibuka na bajaji ya Serengeti Fiesta 2012

 Nikki wa Pili nae alikuwa ‘Kiujamaa’ zaidi  

Ikafika tym ya kupulizwa na ‘Upepo’ wa Recho  


 Hapa Mwana F.A aliamua kwaimbisha ‘Yalaiti’ 

 Juma Kassim Kiroboto a.k.a Juma Nature nae alikuwepo  

Rich Mavoko akiwa na Dancers wake kwa stage  

0 comments:

Post a Comment