| Hii ndiyo nyumba ambayo jana ilifunguliwa rasmi kwa wageni waalikwa walikuja kushudia jinsi washiriki wetu wa Epiq Bongo Star Search wanavyoishi na kupata malezi bora kabisa katika nyumba hiyo. |
| Madam Ritha ambaye ni judge wa Epiq bongo star search akikaribisha ndani wageni waje kushuhudia jinsi washiriki hawa wanavyoishi katika nyumba hiyo bila kupatwa na shida yoyote. |
| Madam Ritha akitoa maelezo kwa makini kabisa baada ya kuzinduzi mjengo huo |
| Sasa yale mambo ya msosi nini ndo dzain hapa ndipo washiriki wetu wa Epiq Bongo Star Search wanapikiwa hapa. |
| Madam Ritha akitoa risala fupi kwa wageni waalikwa baada ya ufunguzi wa nyumba ya Epiq Bongo Star Search |
| Hawa ndiyo washiriki wetu wa Epiq Bongo Star Search hapo wakiwa katika pozi la swagg . |
| Washiriki wa Epiq Bongo Star Search wakiwa na wageni kutoka Zantel baada ya kupewa zawadi ya simu aina ya Samsung Galaxy pamoja na line ya zantel. |








0 comments:
Post a Comment