Thursday, September 27, 2012

IZZO B KUACHIA UTARUDISHWA KIDEONI KESHO


Izzo Bizness ft. Belle 9 - Utarudishwa ndio videona habari ya mjini ambayo inatarajiwa kutoka kesho katika tv station zote za hapa Bongo na Social Network pia utaweza kuiona video hiyo. Video imetengenezwa na kampuni ya kutengeneza video inayoitwa E-Media chini ya Dir Nick Dizzo, kaaeni mkao wa kuitizama kwa maana ni kichupa fulani cha Hip Hop matataaaaa

0 comments:

Post a Comment