Friday, August 31, 2012

WIZ KHALIFA NA AMBER ROSE WATARAJIA MTOTO


RAPA Wiz Khalifa na mpenzi wake Amber Rose wanatarajia kupata mtoto wao kwanza.
Amber Rose ambaye ni mchumba wa zamani wa Kanye West, alinasa ujauzito hivi karibuni na sasa wanatarajia kupata mtoto.
 

0 comments:

Post a Comment