Si ajabu kusikia mastaa wa Bollywood wakichuana wao kwa wao katika mashindano mbalimbali yanayoanzishwa kwa ajili yao.
Hivi karibuni lilianzishwa shindano la star mwenye midomo mizuri ya kimahaba.
Katika shindano hilo kimwana Priyanka Chopra aliibuka mshindi huku akifuatiwa na Aishwarya Rai, wakati nafasi ya tatu ikikamatwa na Kareena Kapoor.
0 comments:
Post a Comment