Showing posts with label Bob Junior. Show all posts
Showing posts with label Bob Junior. Show all posts
Tuesday, December 17, 2013
Wednesday, October 30, 2013
Saturday, July 6, 2013
Saturday, April 27, 2013
Monday, January 21, 2013
HONGERA BOB JUNIOR KWA KUPATA MTOTO WA KIUME
Ikiwa ni siku ya furaha kwa Rais wa Masharobaro Bob Junior kupata mtoto
wa kiume na kumpa jina la Baba mzazi wa Bob Juniour yaana anaitwa RUMMY
RAHEEM RUMMY (RRR) aka Triple R
Monday, January 7, 2013
Monday, December 17, 2012
"Baada ya Nichumu, Sasa Nakuja na Kichuna" - Bob Junior

Rais
wa masharobaro maarufu kama Bob junior baada ya kutoka na Nichumu sasa leo
amefunguka na kusema kwamba anatarajia kuachia ngoma yake mpya nyingine
inayokwenda kwa jina la Kichuna na hii ndiyo cover yake mpya.Kwa hiyo
kama wewe ni shabiki wa Bob junior kaa tayari kwa ujio huu mpya.
Credit:
Djfetty













