Showing posts with label Baby Madaha. Show all posts
Showing posts with label Baby Madaha. Show all posts

Wednesday, October 30, 2013

Nu VIDEO: Baby Madaha - Squeeze Me Tight

Thursday, October 3, 2013

Hii Ndiyo Gari ya Baby Madaha aliyopewa huko Kenya

Tazama picha mpya za baby Madaha kwenye gari yake mpya aliyopewa huko Kenya. So Sexy…!
Hii ni gari aina ya Audi TT ambayo Baby Madaha amepewa na Label ya Muziki ya nchini Kenya ikiwa ni kama sehemu ya mkataba wake. Label hiyo imeingia mkataba wa Shilingi milioni 50 za Tanzania pia kupewa gari hilo la kutembea na kupangishiwa nyumba katika maeneo ya Kijitonyama, Dar es Salaam.

Wednesday, September 25, 2013

Nu Video: Baby Madaha - Summer Holiday

Tuesday, October 23, 2012

'Baby Madaha' Aachia 'Nitenge'

 
 
MSANII wa muziki na filamu bongo Baby Madaha, amesema kuwa ngoma yake mpya ya ‘Nitenge’, inatarajia kuanza kusikika leo kwani ameshaisambaza kwenye vituo vingi vya redio huku nyimbo hiyo ikiwa inahusu mapenzi.
Msanii huyo alisema kuwa watu wengi wamekuwa wakimuona kwenye filamu sana lakini safari hii nguvu zake amezirudisha upya kwenye game la muziki ili kuwaonesha mashabiki wake kuwa bado anafanya vizuri na wala hajapotea.
“Mimi huwa nafanya ngoma ambazo hazifi ukisikiliza wimbo wangu wa ‘Amore’ hadi leo bado unafanya vizuri hivyo hata huu mpya upo hivyo na nachopenda kuwaambia mashabiki wangu ni kwamba nimekuja upya nikiwa na nguvu zaidi,” alisema.