Friday, June 6, 2014

Diamond apiga hatua nyingine: account yake ya twitter imekuwa verified

Kama wasanii wengine wakubwa duniani, account ya Twitter ya Diamond imekuwa verified leo hii June 6.
Diamond sasa ni mmiliki halali wa account hiyo itakayokuwa ikimtambulisha duniani kote na mashabiki zake kuweza kumtamua kwa haraka, ukiringanisha na account zingine kibao ambazo zimefunguliwa zenye jina lake
Credit: Djfetty.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment